WAZIRI MAJALIWA AKAGUA SHAMBALA DENGU MALI YA MWANANCHI MSALALA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali ya Bw. Philipo Kapande (wa pili kushoto) katika kijiji cha Jomu kwenye Halmashauri ya Msalala Julai 17, 2018. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali ya Bw. Philipo Kapande (kushoto) katika kijiji cha Jomu kwenye Halmashauri ya Msalala Julai 17, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata