MAJALIWA AZINDUA GHALA LA KUHIFADHIA MAZAO YA WAKULIMA KIJIJI CHA BULIGE- KAHAMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima katika kijiji cha Bulige kwenye Halmashauri ya Msalala, Julai 17, 2018. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi, Macha, wa pili kushoto ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na wanne kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Azza Hilal. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elius Kwandikwa. 
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ghala la kuhifadhia mazao ya wakuliama katika kijiji cha Bulige kwenye Halmashauri ya Msalala Juali 17, 2018. Anayemsaidia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata