WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA EID KWENYE MSIKITI ANWAR, MSASANI, JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika  swala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani,  jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti  Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo  Juni 15, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Waislamu baada ya kushiriki katika swala ya Eid  kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani,  jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018. 

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kushiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar,  Msasani,  jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata