MATUKIO YA SHEREHE YA USIKU WA KUZALIWA NACY ILIYOFANYIKA AFRICAN LOUNGE MJINI KAHAMA.

MTOTO NACY ALIYEVAA NGUO NYEUSI KATIKATI AKIWA ANASUBIRI KUKATA KEKI.

 NACY KUSHOTO AKIWA NA PACHA WAKE GRACE AMBAYE ALIKUWA ANAMPA KAMPANI USIKU WA MAY 26 NDANI YA AFRICAN LOUNGE.

 WAGENI WAALIKWA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA NI FULL KUCHUKUA MATUKIO YA KUMBUKUMBU.

 NACY AKIKATA KEKI KWA AJILI YA KUWALISHA WAGENI WAALIKWA WALIOFIKA KUMPONGEZA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

NACY AKIMLISHA KEKI KAKA YAKE

 NACY AKITANIANA NA KAKA YAKE BAADA YA KUTAKA KUMLISHA KEKI KUBWA KULIKO UWEZO WA MDOMO WAKE,.

 NACY AKILISHANA KEKI NA PACHA WAKE AMBAYE ALIKUWA AKIMPA KAMPANI KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

 NACY AKILIMLISHA KEKI DADA YAKE AIDATH KATIKA SHEREHE HIYO

 NACY AKIENDELEA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA

 WAGENI WAALIKWA WAKIFUATILIA LIVE KUPITIA KIJUKUU BLOG MATUKIO YOTE YA BIRTHDAY YA NACY.

 NACY NA PACHA WAKE WAKIENDELEA KUANDAA NA KUZUNGUKA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA.

 NACY AKIMLISHA KEKI DADA YAKE KATIKA USIKU WA KUZALIWA NACY 

 NACY AKIMLISHA KEKI MSANII ABUU MKALI AMBAYE NAYE ALIIBUKA KATIKA PARTY HIYO ILIYOFANYIKA MJINI KAHAMA

NACY AKIMLISHA KEKI CHIEF COOKER WA SUB MARINE.

 KAKA MTU AKIMLISHA KEKI NACY

 NACY AKIENDELEA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA KATIKA UKUMBI WA AFRICAN LOUNGE.

 NACY AKIWA AMEPIGA GOTI AKIMLISHA KEKI MMOJA WA WAKURUGENZI WALIOFIKA KATIKA UKUMBU HUO

 MSANII ABUU MKALI AKIIMBA NYIMBO YA KUMTAKIA MAISHA MEMA NACY

KAKA MTU AKITAFUTA KIPANDE KIZURI CHA KEKI KWA AJILI YA KUMLISHA MTOTO NACY

NACY AKINDELEA KUWALISHA WAGENI WAALIKWA KEKI NZURI ILIYOANDALIWA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

MHHHHHHH MTOTO SIYO KWA KEKI HIYO DUUUUUU

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata