KARIBU MK CLASSIC HOTEL,KIWANJA KIPYA MJINI KAHAMA.


HUU NDIYO MWONEKANO WA MK HOTEL ILIYOPO MBULU,VYMBA SAFI VYENYE VITANDA VIZURI,KOCHI LA KUKAA WATU WAWILI MAJI YA MOTO NA HUDUMA NYINGINE NZURI.

UKIWA MK HOTEL UNAPATA HUDUMA SAFI YA VINYWAJI AINA VYOTE KUPITIA CONTER KUBWA YENYE WAHUDUMU MAHIRI.

MK HOTEL INA VYOO VYA KISASA NA BAFU KUBWA LENYE MAJI YA KUTOSHA NA YAMOTO.

MABAFU MAZURI YA MK HOTEL YENYE MAJI YA MOTO NA BARIDI 

MWONEKANO WA NDANI WA HOTEL MK
MWONEKANO WA KITANDA NDANI YA MK HOTEL 
UKIWA NDANI YA MK HOTEL UNAPATA HUDUMA KIBAO...HUDUMA YA SIMU UNAYOWEZA KUWASILIANA NA IDARA ZOTE ZA HOTEL PAMOJA NA MEZA NZURI YA KUFANYIA KAZI ZAKO.

HAPA NDIPO MAPOKEZI UTAKAPOPOKELEWA UKIFIKA MK HOTEL

UKIWA MK HOTEL KUNA SEHEMU MAALUMU ZA KUKAA KWA NJE (V.I.P) SEHEMU AMBAZO UTAPATA HUDUMA ZOTE MUHIMU.

MWONEKANO WA NJE WA MK HOTEL..ULINZI WA KUTOSHA NA PARKING KUBWA.

MK HOTEL HAKUNA TATIZO LA MAJI,HUDUMA YA MAJI NI SAA 24 MAJI YAKIKATIKA KUNA MATANK MAALUMU YA KUSAMBAZA MAJI HOTELINI.

VYOO VYA NJE KWA WATEJA AMBAO WANAPATA HUDUMA NJE

MWONEKANO WA MK HOTEL KWA NJE

SEHEMU YA HAJA NDOGO KWA WANAUME KUPITIA VYOO VYA NJE

KARIBU MKE HOTEL HAYA NDIYO MAWASILIANO YAO

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata