BREAKING NEWSSSSS!!! MAHAKAMA YAMBADILISHIA LULU ADHABU YA KIFUNGO,SASA ATATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE.

Habari njema kwa wapenzi na mashabiki wa Muigizaji Elizabeth Michael, maarufu Lulu leo Jumatatu Mei 14,2018 ni kwamba amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. 

Magereza imethibitisha kuhusu uamuzi huo.


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata