UFANUNUZI KWA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI KWA NJIA YA MTANDAO

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kukiri mwitikio mzuri wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa mtandaoni (online forums), Radio na Televisheni za mtandaoni wanaoendelea kujitokeza katika zoezi la usajili tokea tulipotoa tangazo tarehe 21 Aprili, 2018.

Aidha, TCRA inapenda kutoa ufafanuzi juu ya maswali mbali mbali ambayo yamekuwa yakiulizwa kama ifuatavyo:-SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata