PICHA: RAIS MAGUFULI KATIKA MSIBA WA MAMA MZAZI WA RC GAMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo April 18, 2018 amewasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kwa ajili kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli.
SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata