PICHA: ALIKIBA AFUNGA NDOA JIJINI MOMBASA

Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera.

Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali.

Kwa upande wake Rais wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanaye Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete wametoa udhuru wa kutohudhuria sherehe ya harusi ya msanii huyo kutokana na kuwa na majukumu mengine.SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata