KIWANDA CHA OCEAN KISS CHATEKETEA KWA MOTO

Moto Mkubwa uumezuka katika kiwanda cha magodoro cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Matumbi. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Ilala, Ully Mbuluko amesema kuwa wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiendelee kuleta madhara zaidi. 

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata