UFAFANUZI KUTOKA IKULU KUHUSU RAIS KUTENGUA UTEUZI WA WAZIRI DR. KIGWANGALLA

Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla

Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni uzushi.SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata