NDEGE ZA ISRAEL ZANYNUYIZIA KEMIKALI ZISIZOJULIKANA KATIKA MASHAMBA YA WAPALESTINA

Kemikali hizo huathiri mazoa na kudumisha kilimo katika ardhi za wapalestina.

Ndege za Israel  za kilimo zanyunyizia  kemikali ambazo bado hazijatubulika  katika mashamba ya wapalestina yanayopatikana katika Ukanda wa Gaza.

Mkurugenzi wa ardhi na umwagiliaji maji  katika idara ya kilimo Nizar al-Wahidi amefahamisha kuwa ndege za Israel zimeanza kunyunyizia  kemikali isiotambulika katika mashamba ya wapalestina Ukanda wa Gaza. Kiongozi huyo amesema kuwa ndege hiyo imeanza zoezi  hilo na kuelekea katika eneo la Kaskazini huku kemikeli hiyo ikimwagwa.

Kwa mujibu wa kiongozi huyo kemekali hiyo inaathiri kilimo na kuaribu mazoa.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata