INATISHA JAMAA APIGWA NYUNDO KISHA KUPIGILIWA MISUMARI MINNE KICHWANI

Isaac Mutembei , jamaa aliyepigwa kichwani kwa nyundo na vilevile kupigiliwa misumari minne amepona na tayari kuruhusiwa kuondoka hospitali kuu ya Kenyatta.
Alifika katika hospitali hiyo mwezi mmoja uliopita baada ya kugongwa nyundo na kushindiliwa misumari minne kichwani akiwa kwenye duka eneo la Isiolo nchini Kenya.
Mutembei anasema kupona kwake ni muujiza na sasa anapania kumtumikia Mungu miaka yake yote.
Misumari ikiwa kwenye kichwa cha Mutembei

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata