BREAKING: MH. EDWARD LOWASSA, MBOWE WAMJULIA HALI MZEE KINGUNGE

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kumjulia hali Mzee Kingunge Ngumbare Mwiru aliyelazwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili anapopatiwa matibabu.

Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake.

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,alifika hospitalini hapo kumjulia hali mzee huyo.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata