MATUKIO YA SHEREHE YA UBATIZO NA KIPAIMARA KWA FAMILIA YA LUTUFYO KANYENYE.

 JUMAPILI YA JANA DEC 3/2017 ILIKUWA SIKU YA FURAHA KWA FAMILIA YA BWANA NA BIBI LUTUFYO KANYENYE AMBAPO KULIKUWA NA SHEREHR YA KIPAIMARA NA UBATIZO WA WATOTO WAO DORCAS NA EBENEZER.

NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WALIHUDHURIA KATIKA TAFRIJA FUPI ILIYOFANYIKA NYUMNAI KWAO ENEO LA IGOMELO KAHAMA KATA YA MALUNGA.

ANGALIA HAPA BAADHI YA MATUKIO MUHIMU KATIKA TAFRIJA HIYO.

 MTOTO DORCAS NA EBENEZER WAKIKATA KEKI KATIKA TAFRIJA HIYO.
 MTOTO EBENEZER AKIJIANDAA KUMLISHA KEKI DADA YAKE DORCAS
 MTOTO EBENEZER AKIMLISHA KEKI BABA YAKE LUTUFYO KANYENYE
 MTOTO DORCAS NA EBENEZER WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KATIKA TAFRIJA HIYO.
 WAGENI WAALIKWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKIWA KATIKA TAFRIJA HIYO.
 LUTUFYO KANYENYE AKIWA NA WAGENI KATIKA TAFRIJA HIYO.
 WAGENI WAALIKWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKIWA KATIKA TAFRIJA HIYO.

 WAGENI WAALIKWA MARAFIKI PAMOJA NA NDUGU WAKIWA KATIKA TAFRIJA HIYO.

 MTOTO DORCAS AKIMLISHA KEKI BABU KATIKA TAFRIJA HIYO.

 MAMA WA DORCAS NA EBENEZER AKIKATA KEKI KATIKA VIPANDE ILI ZOEZI LA KULA KEKI LIENDELEE.
 MARAFIKI NA JIRANI WA LUTUFYO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KUFURAHIA USIKU WA DORCAS NA EBENEZER.

 FAMILIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKIGONGA CHEERS

 NI WAKATI WA CHEERS GONGA GLASS KUONYESHAA ISHARA YA UPENDO KWA FAMILIA.

 DORCAS NA EBENEZER NAO WAKIGONGA CHEERS.

 DORCAS AKIGONGA CHEERS NA BABU KATIKA TAFRIJA HIYO.

 WAGENI WAALIKWA NAO WALIBEBA GRASS ZAO KWA AJILI YA TUKIO ZURI LA CHEERS.

MEZA YA CHAKULA IKIWA IMESHEHENI VITU VIZURI ISHARA YA  MUDA WA KULA KUWA TAYARI.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata