LEMBELI ATUA MAREKANI KUSAINI MKATABA WA BODI YA JANEGOODALL KATI YA TANZANIA NA UGANDA.UTIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO BANA YA BODI YA JANE GOODALL TANZANIA NA UGANDA.

KUTOKA KUSHOTO NI MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA  JGI AMERICA,WA PILI NI BETH STEVEN-MWENYEKITI WA BODI JGI AMERICA, JAMES LEMBELI MWENYEKITI WA JGI TANZANIA  NA CARLOS DREWS-MTENDAJI MKUU WA JANE GOODALL. 


MWENYEKITI WA JGI AMERICA BETH STEVENS AKITIA SAINI MAKUBALIANO HUKU KUSHOTO KWAKE JAMES LEMBELI AKISHUHUDIA UWEKAMAKAMU MWENYEKITI WA 
MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA  JGI AMERICA AKITIA SAINI KWENYE MKATABA HUO.


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata