BREAKING NEWS:.RAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. WILBROD PETER SLAA KUWA BALOZI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Novemba, 2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi.

Dkt. Wilbrod Peter Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
23 Novemba, 2017

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata