TAMKO LA BARAZA LA HABARI TANZANIA KUHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISSU

Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’ limesema limesikitishwa na jaribio hilo la mauaji dhidi ya Mbunge na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji Kajubi Mkajanga September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda amani na wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo hicho.
==>Isome hapo chini 
SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata