IVORY COAST: WAFUNGWA 13 WATOROKA JELA


Taarifa zilizotolewa na Polisi ya magereza mjini Bouake zimefahamisha kuwa wafungwa 96 wametoroka huku wengine 13 wakikamatwa.

Wafungwa hao 13 walikamatwa wakijaribu kutoroka katika viiiji vinavyoapatikana karibu na magareza hayo.

Gereza ambalo wafungwa wametoroka ni gereza  la Katiola, gereza ambalo linapatikana katika umbali wa kilomita 45 na mji   wa Bouake.

Vyanzo vya habari vyafahamisha kuwa huenda wafungwa waliotoroka ni wafuasi wa  mfungwa maarufu Yaku Mchina  ambae alituhumiwa mara kadhaa kuwaua wafungwa.

Meya wa Bamba Medji aliwaambia waandishi wa habari  kuwa mnamo Agosti 6 wafungwa  watano waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka  20 jela walitoroka katika gereza la Gagnoa.
....'I am a God fearing person who believes in, and endeavours to do, justice to all irrespective of their status in society.....'

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
....'I am a God fearing person who believes in, and endeavours to do, justice to all irrespective of their status in society.....'

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata