BREAKING NEWS: ASKOFU GWAJIMA AMEFUTIWA KESI YA KUSHINDWA KUTUNZA SIRAHA

BREAKING NEWS: Askofu Gwajima Amefutiwa Kesi ya Kushindwa Kutunza Siraha
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amefutiwa kesi ya kushindwa kutunza silaha baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha mashtaka hayo, na kuamuru arudishiwe mkoba wenye silaha yake.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata