LISSU ASEMA "HATUTAKI UTAWALA WA MABOMU"

Rais wa TLS kwaniaba ya mawakili wenzie Tundu Lissu ameeleza kuwa hawataki kuona Tanzania ya Mabomu kwakuwa vitendo vya namna hiyo na vile alivyoviita vya kikatili wamekuwa wakifanyiwa mawakili bila kujali kuwa wana ulinzi kisheria.
Hayo ameyasema leo mara baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) Kuungana wanachama wa TLS kulaani tukio la ofisi za IMMMA Advocates kupigwa bomu.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata