MATUKIO YA UZINDUZI WA KAHAMA FM BONANZA,LENYE LENGO LA KUPINGA MIMBA MASHULENI.

 BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KAHAMA FM WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KATIKA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA.

 KUTOKA KUSHOTO NI SEBASTIAN MNAKAYA,SAMWELI NYAHONGO,DANIEL MAGWINA NA PHILIPO CHIMI.
 KAHAMA FM TEAM WAKIWA KATIKA MAANDALIZI YA TAMASHA LA KAHAMA FM BONANZA.

 SEBASTIAN MNAKAYA MTANGAZAJI WA KAHAMA FM AKISHOW LOVE NDANI YA UWANJA WA HALMASHAURI YA MJI.
 WATANGAZAJI WA KAHAMA FM WAKIWA WAMEONYESHA STYLE YA KAULI MBIU YA BONANZA YAKUMLINDA MTOTO WA KIKE "TOKOMEZA MIMBA SHULENI,MWACHE BINTI ASOME.
 UZINDUZI RASMI WA KAMPENI KATIKATI YA UWANJA WA TAIFA
 WILLIAM BUNDALA KIJUKUU CHA BIBI K KUSHOTO AKIWA NA DJ RAMMY KATIKAKATI PAMOJA NA LENARD WA KAHAMA FM.
 MC KIJUKUU AKIFANYA YAKE KATIKA VIWANJA WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA

 VIJANA WA KAHAMA FM WAKIJINADAA KUTANGAZA LIVE MCHEZO KATI YA EURO CITY KUTOKA USHETU NA AMBASSADOR KTOKA KAHAMA MJINI
 WANANCHI WA KAHAMA WAKIANZA KUMIMINIKA KUSHUHUDIA BONANZA.

 WACHEZAJI WA TIMU YA BODA BODA FC WAKIWA KATIKATI YA DIMBA TAYARI KUPAMBANA NA WACHEZAJI WA BAJAJI FC.

 MCHEZO KATI YA BAJAJI FC NA BODABOBDA FC UKIWA UNAENDELEA.

 MEZA KUU WAKIFUATILIA MTANANGE KATI YA BODA BODA FC NA BAJAJI FC.

 MCHEZO WA PILI ULIKUWA KATI YA EANGLE FC NA MAVETERAN KAHAMA.

 DAWATI LA UFUNDI LA TIMU YA MAVETERANI FC.

 BAADHI YA WANANCHI WAKIENDELEA KUSHUHUDIA MCHEZO

 MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA KAHAMA (KDFA) IBRAHIMU KHAN AKITOA NENO KATIKA BONANZA HILO.

 MWAKILISHI WA KAHAMA FM,MZEE NOEL THOMAS AKITOA NENO LA RADIO KUHUSU MADHUMUNI YA BONANZA LA KAHAMA FM.


 KATIBU TAWALA WA WILAYA YA KAHAMA TIMOTH NDANYA AKITOA HOTUBA KWA NIABA YA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA HIYO FADHIL NKULU.

 DAWATI LA UFUNDI LA TIMU YA AMBASADOR FC YA MJINI KAHAMA.

 MAANDALIZI YA MCHEZO KATI YA EURO CITY NA AMBASADOR FC TIMU ZIKISUBIRI KUKAGULIWA.

 WACHEZAJI WA EURO CITY KUTOKA KIJIJI CHA ULOWA HALMASHAURI YA USHETU.

 MGENI RASMI AKIKAGUA TIMU NA KUSALIMIANA NA WACHEZAJI WA PANDE ZOTE.

 WAAMUZI WA MCHEZO WAKIWA KATIKAKATI YA DIMBA.

 UKAGUZI WA TIMU ZOTE UKIENDELEA

 MGENI RASMI AKIENDELEA KUKAGUA TIMU

 VIJANA WA EURO CITY WAKIWA DIMBANI.

 WACHEZAJI WA AMBASSADORFC WAKIWA DIMBNANI.SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata