MATUKIO YA MKESHA WA MWENGE MSALALA NA MAKABIDHIANO YAKE KWA HALMASHAURI YA USHETU WILAYANI KAHAMA.

 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MSALALA SAIMON BEREGE KULIA MMWENYE KOFIA YA BLUE AKIMKABIDHI MWENGE WA UHURU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU MAIKO MATOMOLA MWENYE KOFIA YA NJANO.
 
MKESHA WA MWENGE WA UHURU KATIKA VIWANJA VYA SEGESE,HAPA WANANCHI WAKIENDELEA KUBURUDIKA NA MUZIKI.

HUDUMA YA UPIMAJI VIRUSI VYA UKIMWI KWA HIARI IKINDELEA AMBAPO KATIKA UPIMAJI HUO,WATU ZAIDI YA MIA NNE WALIPIMA NA WATU KUMI NA MOJA TU WALIBAINIKA KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI...KATI YAO WANAWAKE NI SITA NA WANAUME WATANO.
 
 CHUMBA MAALUMU CHA UPIMAJI WA VIRUSI VYA UKIMWI NA USHAURI KILICHOKUWEPO KATIKA MKESHA WA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA MSALALA.
 MC WA SHUGHULI YA MKESHA WA MWENGE WILLIAM BUNDALA (KIJUKUU CHA BIBI K) MWENYE T-SHIRT YA BLUE AKIWA NA DJ RAMMY WAKATI WA MKESHA WA MWENGE WA UHURU SEGESE.

 MC KIJUKUU AKIENDELEA KUWAPA MZUKA WAKESHAJI KATIKA MWENGE WA UHURU.

KIKOSI CHA UOKOAJI NA ZIMA MOTO NAO PIA WALIKUWEPO KATIKA MKESHA WA MWENGE MSALALA.

MKUU WA WILAYA YA KAHAMA FADHIL NKULU AKIIMBA LIVE WIMBO WA RANGI YA CHUNGWA KATIKA MKESHA WA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA MSALALA.

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MSALALA SAIMON BEREGE KUSHOTO AKICHEZA NA WAKUU WA IDARA WAKATI MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AKIMBA.

SAA KUMI NA MBILI NA NUSU ASUBUHI MKUU WA WILAYA YA KAHAMA FADHILI NKULU KULIA AKIWA NA KATIBU TAWALA WA WILAYA YA KAHAMA MR NDANYA WAKIONGEA NA WANANCHI KUWASHUKURU KWA KUKESHA NA KUWAAGA TAYARI KWA KUUPELEKA MWENGE HALMASHAURI YA USHETU. 
 
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA BWANA AMOUR HAMAD AMOUR AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA HALMASHAURI YA MSALALA,HUKU AKISISITIZA UWEPO WA MADINI WILAYANI KAHAMA UWAFANYE WANANCHI KUWA NA MAISHA MAZURI NA ZAIDI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE MAGUFULI.

 
WAKUU WA IDARA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MSALAL PAMOJA NA WANANCHI WA SEGESE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2017 AMOUR HAMAD AMOURHAYUPO PICHANI.

MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AKIONGEA NA WANANCHI WA SEGESE ASUBUHI YA LEO (JULY 14/2017) KATIKA VIWANJA VYA SEGESE.
 
WAKIMBIZA MWENGE PAMOJA NA ASKARI WA JESHI LA POLISI WAKIWA WAMEWEKA ULINZI MBELE YA MWENGE WA UHURU KATIKA VIWANJA VYA SEGESE MUDA MCHACHE KABLA YA KUUPELEKA SEGESE.

MKURUGENZI WA HALMSHAURI YA MSALALA KULIA PAMOJA NA VIONGOZI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA,WA WILAYA PAMOJA NA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA BWANA AMOUR HAMAD AMOUR WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MKUU WA WIALAYA YA KAHAMA FADHIL NKULU WAKATI AKIWAAGA WANANCHI WA SEGESE NA HALAMSHAURI YA MSALALA KWA UJUMLA. MSAFARA WA MAGARI YA MWENGE UKIWA NJIANI KUUPELEKA MWENGE KATIKA HALMASHAURI YA USHETU.

 
 KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE BWANA AMOUR AHAMAD AMOUR MWENYE SKAFU YA NJANO AKIKUMBATIANA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MSALALA SAIMON BEREGE KAMA ISHARA YA KUMPONGEZA KUUKIMBIZA MWENGE WA UHURU KWA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA HALMASHAURI YAKE.

 KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMOUR AHAMAD AMOUR AKIVULISHWA SKAFU YA NJANO NA KUVALISHWA SKAFU NYINGINE ISHARA YA KUINGIA KATIKA HALMASHAURI YA USHETU.

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMOUR AHAMAD AMOUR WATATU KUTOKA KUSHOTO AKIWA UPANDE WA HALMASHAURI YA USHETU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA YA KAHAMA FADHILI NKULU KUSHOTO,MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU MAIKO MATOMOLA WAPILI KUTOKA KUSHOTO NA MBUNGE WA JIMBO LA USHETU ELIUS KWANDIKWA ALIYE UPANDE WA KULIA.

MKUU WA WILAYA YA KAHAMA FADHIL NKULU AKIPOKEA MWENGE KUTOKA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU MAIKO MATOMOLA BAADA YA KUUPOKEA KUTOKA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MSALALA.

 KATIBU TAWALA WA WILAYA YA KAHAMA MR NDANYA AKITOA HESHIAMA ZAKE KWA MWENGE WA UHURU.

 MBUNGE WA JIMBO LA KAHAMA ELIUS KWANDIKWA AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA MWENGE WA UHURU.

 WAKUU WA IDARA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA USEHTU WAKITOA HESHIMA ZAO MBELE YA MWENGE WA UHURU.

 HESHIMA ZA MWENGE WA UHURU ZIKIENDELEA KUTOLEWA NA WATUMISHI NA WAKUU WA IDARA WA HALMASHAURI YA USHETU,.

 HESHIMA ZA MWENGE WA UHURU ZIKIENDELEA KUTOLEWA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI DAKAMA.
 MWENYEKITI WA CCM WILAYANI KAHAMA MABALA MLOLWA AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA MWENGE WA UHURU

 HESHIMA ZA MWENGE WA UHURU ZIKIENDEKLEA KUTOLEWA.

 WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI DAKAMA WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO KUUPOKEA MWENGE WA UHURU.
SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata