LISSU AONGEZA IDADI YA VIGOGO MAHABUSU


KWA Kipindi cha hivi Karibuni tumeshuhudia nyuma ya Nondo za mahabusu wakihuifadhiwa vigogo kwa tuhuma mbali mbali.

Jana Rais wa Chama Cha Wanasheria Nchi (TLS) Tundu Lissu amekosa Dhamana baada yakufikishwa kwenye Mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka moja la Kutoa maneno ya Uchochezi.

Vigogo wengine ni Pamoja na  Rais wa TFF  Jamali Malinzi na wenzake, Rais wa Simba Evence Aveva na Mwenzake.

Boss wa IPTL Harbinder Sengh Seth na  James Rugemalira,  Harry Kitilya  aliyekuwa Mkurugenzi wa TRA, Shose Sinare Aliyekuwa Miss Mwaka 1996.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata