SERIKALI IMEPIGA MARUFUKU KWA VYOMBO VYA HABARI KUTUMIA PICHA YA KIKWETE NA MKAPA.

Serikali imepiga Marufuku matumizi ya picha za Marais  wastaafu wa awamu ya Nne na ya tatu na kuyahusisha na Sakata la Makenikia.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Harriso Mwakyembe ametoa tamko hilo leo tarehe 15,Juni.
 

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata