POLIS DAR WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WALEMAVU WALIOANDAMANA.

DAR ES SALAAM: Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya walemavu waliofunga barabara wakipinga kuzuiwa kuingia katikati ya mji na baiskeli.

Taarifa za awali zinasema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia walemavu kadhaa kuhusiana na tukio hilo ambalo limefanyika leo maeneo ya Posta jijini Dar.

Taarifa zaidi tutawaletea.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata