MSAADA...NIMEPOTEZA VYETI VYA SHULE NA DOCUMENTS ZINGINE KWENYE USAFIRI WAKATI NAHAMA

vyeti
Naitwa Julieth Benjamin Nkya, Usiku wa Tarehe 11/2/2017 Nilipoteza Vitu vifuatavyo Wakati Nahama Kutokea Buguruni Kuja Bunju Kwenye Gari lililonibebea Mizigo

1. Birth Certificates za Julieth Benjamin na Ezekiel Noel
2.Cheti cha Form Four cha Julieth Benjamin Nkya
3.Cheti cha Form Six cha Julieth Benjamin Nkya
4. Results Slip ya Chuo cha University College of Cooperative (Muccobs) ya Julieth Benjamin Nkya
5. Certificate ya Chuo cha University College of Cooperative (Muccobs) yenye jina la Julieth Benjamin Nkya
6.TIN namba yenye Jina la Julieth Benjamin Nkya
7.Vyeti viwili vya Ndoa vyenye Majina ya Julieth Benjamin Nkya na Fredy Mongi


Naomba kama kuna mtu ameviokota au kuwa na taarifa kwa vyeti vilivyopotea vyenye jina hilo piga simu namba ifuatayo: 0718230571

Zawadi Itatolewa Kwa atakaye fanikisha kupata Docoments hizi

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata