FAHAMU JINSI UNAVYOWEZA KUFANIKIWA KWA KUFUGA MBWA WA ULINZI

Kuna huitaji mkubwa wa mbwa wa kutoa ulinzi majumbani, sehemu binafsi na maeneo ya serikali

Kuna nafasi kubwa ya kuuza mbwa wadogo, kufundisha mbwa, kutoa huduma ya  vyakula vya mbwa.Bei ya mbwa inategemea aina ya mbwa na sehemu unapouzwa.

Kwa miji mikubwa kama Dar es salam mbwa huuzwa kuanzia 100,000/- mpaka 500,000/- kwa mbwa mdogo pia inategemea aina ya mbwa kwa hivyo ni vizuri ufanje utafiti wa aina ya mbwa sio kila mbwa ana bei.Pia ni vizuri wawe na afya kwa kuwapa chakula bora na chanjo.Biashara hii unaweza kuanza na mtaji wowote inategemea aina ya mbwa unaouza.

SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata