TAZAMA HAPA MATUKIO YA KUPATWA KWA JUA HUKO MBEYA.

HALI ILIVYOKUWA MBEYA BAADA YA JUA KUPATWA

MMASAI NAYE HAKUWA NYUMA KUANGALIA JUA KWA KIFAA MAALUMU MAPEMA LEO.

WAGENI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAKISUBIRI TUKIO LA KUPATWA KWA JUA

WANAFUNZI KUTOKA SHULE MBALI MBALI ZA MBEYA NAO WALIENDA KUSHUHUDIA TUKIO HILO 

WANAFUNZI NA WAZAZI WAKISUBIRI TUKIO HILO LA KUPATWA KWA JUA.

WATU KATIKA MAPOZI MBALI MBALI YA KUSUBIRI JUA KUPATWA.
SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata