TAZAMA VIDEO JINSI POLISI WALIVYOWASAMBARATISHA WAFUASI WA CHADEMA KAHAMA.

Jeshi la Polisi Kahama mkoa wa Shinyanga limetumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wamekusanyika katika mkutano wa CHADEMA.
Jeshi la Polisi limeeleza kuwa mkutano huo ni batili na hauna kibali cha serikali. 
Hivyo imeeelezwa kuwa baada ya wananchi kuendelea kuwepo eneo la tukio wakati mkutano ulishazuiwa kumewafanya polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya.
Vyama vya upinzani vimepanaga kuzunguka nchi nzima kueleza wananchi kile wananchodai kuwa ni kuminywa kwa demokrasia katika serikali ya awamu ya tano. Hii ni kutokana na matukio kadhaa yaliyotokea Bungeni pamoja na kauli za Rais Magufuli.

HII HAPA VIDEO YA JINSI HALI ILIVYOKUWA:


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata