MWONEKANO WA JIONI MJI WA MOROGORO ENEO LA MSAMVU

UNAWEZA KUPATA PICHA NZURI UKIWA KATIKA KILELE CHOCHOTE CHA MLIMA AU JUU YA GHOROFA,HAPA NIKIWA KWENYE GHOROFA YA SITA KATIKA HOTEL YA FLOMI ILIYOPO ENEO LA MSAMVU .....NAKUSOGEZEA PICHA ZIFUATAZO.

KWA MBALI NI UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI KATIKA STAND YA MSAMVU

MWONEKANO WA MJI WA MOROGORO KATIKA MILIMA YAKE INAYOYOTOA MOSHI WAKATI WA ALFAJILI NA USIKU.

PICHA NZURI YA JUU KATIKA ENEO LA MSAMVU

KARIBU MOROGORO MJI KASORO BAHARI ILA KUNA BARIDI KIDIZAINI KATIKA KIPINDI HIKI.

MWONEKANO WA MILIMA YA MOROGORO

MOROGOGORO KATIKAKATI ENEO LA MSAMVU


KITUO KIPYA CHA MABASI

MILIMA ILEEEEE

HOTEL YA FLOMI MJINI MOROGORO ENEO LA MSAMVU

MJI KASORO UMEPAMBIKA HATARI KUTOKANA NA MAJENGO MAZURI NA MIPANGO MIJI ILIYOKAA POUWA.

OVER VIEW YA FLOMI HOTEL


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata