KARIBU FLOMI HOTEL MOROGORO MSAMVU KWA HUDUMA NZURI NA ZA KISASA.


MWONEKANO WA MBELE WA HOTEL YA FLOMI MJINI MOROGORO.

FURAHA NA TABASAMU NDIYO MSINGI WA HUDUMA BORA.

WAHUDUMU WENYE ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU MASWALA YA HOTEL MANEGEMENT WAPO KATIKA HOTEL YA FLOMI.

USTADI WA KAZI UMAKINI KWETU NI JAMBO MUHIMU.

KUNA ENEO KUBWA LA KUPAKI MAGARI NA SEHEMU NYINGI ZA KUPUMZIKA 

WAGENI KUTOKA MAENEO MBALI MBALI WATAFAHAMU MUDA WA NCHI ZAO KWA KUANGALIA SAA ZENYE KUONYESHA MUDA WA ENEO HUSIKA.

USAFI NI MSINGI NA SIRI YA MAFANIKIO,SEHEMU YA CHOO NDANI YA CHUMBA CHA KULALA

KARIBU CHUMBANI,VYUMBA VYENYE HEWA YA KUTOSHA NA ENEO KUBWA LA KUFANYA SHUGHULI ZAKO.

KITANDA SAFIIII NA MAGODORO MAZURI YATAKAYOKUFANYA UWE NA USINGIZI MZURI UWAPO FLOMI HOTEL MOROGORO.

USINGIZI MZURI HUTEGEMEA MWONEKANO MZURI WA KITANDA NA CHUMBA,KARIBU FLOMI HOTEL UJIONEE TOFAUTI.

VYUMBA VYENYE HEWA SAFINA VIKUBWA VINAPATIKANA FLOMI HOTEL

ONA JINSI TAULO LA KIJIFUTIA LINAVYOHIFADHIWA.

SEHEMU YA KUNAWA NDANI YA CHUMBA CHA KULALA,DAWA YA MSWAKI MSWAKI,LOTION NA KILA KITU KINAPATIKANA NDANI YA FLOMI HOTEL

SEHEMU YA KUPUMZIKA NDANI YA CHUMBA

MEZA YA KUSOMEA NA KUFANYA SHUGHULI ZAKO UKIWA CHUMBANI.

OVER VIEW YA MWONEKANO MZIMA WA CHUMBA CHA KULALA.

HUKU NI TOILET ONA JINSI PALIVYO PASAFI

SEHEMU YA KUPATA VINYWAJI

WALE WAZEE NA MABIBI WA STURI NDEFU HAPA PAMEKAMILIKA

KUNA VINYWAJI VYA KILA AINA NDANI YA FLOMI HOTEL

KWA SHEREHE NDOGO ZA KUPONGEZANA BAADA YA SHUGHULI ZA SEMINA TUNA ENEO KUBWA PIA LA KUJIACHIA

MWONEKANO WA SEHEMU YA KUPATA VINYWAJI

HUDUMA ZA VINYWAJI INAPATIKANA MUDA WOTE.

SEHEMU YA KUPATA CHAKULA KATIKA HOTEL YA FLOMI.

SEHEMU YA KUPUMZIKA YENYE HEWA NZURI

SEHEMU YA MAPUMZIKO UWAPO MAPOKEZI

KILA KUKICHA UNAPATA WASAA WA KUSOMA MAGAZETI UWAPO FLOMI HOTEL

ENEO LA PACKING LIPO LA KUTOSHA SANAA

LANGO KUU LA KUINGILIA FLOMI HOTEL

UZIO MKUBWA WA ULINZI NA ENEO LA UTULIVU PASIPO NA VURUGU.

KARIBU FLOMI HOTEL


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata