HUU NDIYO MWEMBE WA AJABU TANGA,AMBAO IKIFIKA SAA MOJA UNATENGENEZA TASWIRA YA KICHWA CHA MWL NYERERE.

Na Abdi Chembea
Kijukuu Blog Tanga
Mti wa  ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa  na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja na Mama Nyerere kwa upande wa pili.

Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016.  "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza,  hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"- Anasimulia shuhuda wa Tukio hilo  Awadhi AllySAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata