UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI WAWATOA KIMASOMASO WAJASILIAMALI MARAFIKI,WAAPA KUFIA KWENYE UFUGAJI WA KUKU.


LEO NILIPATA FURSA YA KUWATEMBELEA MARAFIKI WAWILI WAJASIRIAMALI AMBAO NI BWANA JUMA MASAKA NA INNOCENT GWAGWA AMBAO WAMETUMIA URAFIKI WAO KUANZISHA KAZI YA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI KATIKA ENEO LA LUGELA NJE KIDOGO YA MJI WA KAHAMA.HAPA NIKIWA NA JUMA KATIKA MOJA YA BANDA LA KUKU LENYE KUKU ELFU MOJA.

 
HII NDIYO NIMEIJUA LEO KABLA YA KUINGIA KWENYE BANDA LA KUKU LAZIMA UKANYAGE MAJI YENYE DAWA ILI KUUWA BAKTERIA.
MOJA LA BANDA LENYE KUKU WENGI ZAIDI

BWANA JUMA AKIWAANDALIA MAJI KUKU HAO,AMBAO KWA MUJIBU WA MAELEZO YA MKURUGENZI HUYO KUKU HAO WANAKUNYWA PIPA KUMI NA MBILI ZA MAJI KWA SIKU.

  
KUKU WAKIWA WAMETULIA BAADA YA KUSHIBA MAJIRA YA SAA NNE ASUBUHI,KUKU HAO WANAKULA KILO MIA SITA ZA CHUKULA KWA SUKU.

MWONEKANO WA NJE WA MAJENGO YA UFUGAJI
  
SEHEMU MAALUMU YA KUKU KUTAGA

BANDA LINALOONGOZA KWA KUKU WENGI

MFANYAKAZI KITENGO CHA KUKUSANYA MAYAI AKIWAJIBIKA KATIKA AWAMU YA KWANZA YA UKUSANYAJI ASUBUHI

NDEGE TUNDUNI

GHARA LA CHAKULA

KAMA ULIKUWA HUJUI,KWA TAARIFA YAKO KONOKONO WA ZIWANI NA BAHARINI NI CHAKULA KIZURI KWA KUKU

CHAKULA GHARANI

CHAKULA KONONO


CHAKULA DAGAA

HAPA WAKURUGENZI WA MRADI HUO WAKINIONYESHA MAHARAGE YA SOYA AMBAYO NAYO NI CHAKULA CHA KUKU.

MASHINE YA KUSAIGIA CHAKULA

CHAKULA KILICHOSAGWA

GARI YA KUSAMBAZA MAYAI MJINI KAHAMA

WAFANYA KAZI KITENGO CHA KUPAKIA MAYAI WAKIWA KAZINI

UPAKIAJI UKIENDELEA


WAKURUGENZI WA MRADI HUO  WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA UPAKIAJI MAYAI

CHUMBA CHA DAWA ZA MATIBABU YA KUKU


UKIWA HUKO BWANA SWALA LA KULA MAYAI NI KUGUSA TU,BAADA YA KUMALIZA KAZI NIKAKAANGIWA KAMA MATANO HIVI HAHAHAHAHHA

MRADI HUO ULIZINDULIWA NA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU

MOJA KATI YA MAFANIKIO YA BIASHARA YA MAYAI


SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata