MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YALIVYOFANA KAHAMA


Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu Duniani,Kitaifa maadhiimisho haya yamefanyika lindi na katika mkoa wa Shinyanga maadhimisho haya yamefanyika wilayani Kahama katika uwanja wa Halmashauri.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni  |"kuthamini na kutambua uwepo albino"
MATUKIO KATIKA PICHA:
Maandamano ya kuelekea uwanjani yaliinza chini ya Polisi wa usalama barabarani

 Maandamano yaliingia uwanjani

 
Meza kuu ikijiandaa kupokea maandamano.
 
 
 Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo Ndugu Erasto Masanja akitoa hotuba

 Baadhi ya wananchi wakifutilia maadhimisho hayo

 Mkurugenzi wa HUHESO Foundation ndugu Juma mwesigwa katikati akifuatilia maadhimisho

 Muweka Hazina wa Chama cha Maalubino mkoa wa Shinyanga Ndugu Stanley Yusuph akitoa neno kwa niaba ya mwenyekiti wa chama hicho.

 Muwakilishi kutoka SHIDEPHA+ ndugu Shaban Iddy akifuatilia maadhimisho

 Utambulisho wa walemavu ukafuata

 Walemavu wa Ngozi wakiwa katika Picha ya pamoja

Walemavu wa Ngozi wakiwa katika mistari kupokea msaada wa kofia na mafuta maalumu kwa ajii ya utunzaji wa ngozi zao

Kikundi cha sanaa cha Kahama Medical Culture Troupe KMCT wakifanya vitu vyao katika maadhimisho hayo.

KMCT wakiendelea kufanya mambo yao

KMCT wakiendelea kufanya mambo 

 Viongozi wa ulinzi na usalama pia walikuwepo wa mbele ni Ndugu Thomas Muyonga na nyuma ni mkaguzi msaidizi Inspector Robart.

BAADA YA HAPO WAKAJUMUIKA PAMOJA KATIKA CHAKULA CHA MCHANA .

 Walemavu wakiwa katika mchakato wa kupata chakula cha jioni katika Hotel ya Pine Lidge.

 Chakula kikiendelea kati ya walemavu,wageni waalikwa na mgeni rasmi.

 Mkurugenzi wa HUHESO Foundation kushoto akipata chakula na Mtunza hazina wa chama cha walemavu mkoa wa Shinyanga ndugu Stanley Yusuph.

Walemavu wakipata chakula katika Hotel ya Pine ridge.

 BAADA YA CHAKULA WAKAPEWA MAELEZO JINSI YA KUTUMIA DAWA YA NGOZI 

Dr Peter Muhundi  kutoka Hospital ya wilaya ya khama akitoa maelezo kwa albino juu ya matumizi ya dawa ya ngozi
SAMBAZA HABARI HII
Habari Iliyopita
Habari Inayofuata